Usharika-Msasani
KKKT-Kanisa La Kiinjili La Kilutheri Tanzania
Dayosisi Ya Mashariki Na Pwani Usharika-Msasani
Ukaribisho Kutoka Kwa Mchungaji
Wapendwa washarika, na wote mnaofatilia ukurasa huu, Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe.Napenda kuwakaribisha katika tovuti ya Usharika wa Msasani iliyoandaliwa kwa ajili kuwapa mafundisho ya Neno la Mungu. Tovuti hii itakuwa ikiweka muhtasari wa mahubiri ya kila Siku ya Bwana pamoja na mafundisho yatolewayo katikati ya juma. Tutakuwa tukiweka mafundisho na mahubiri katika mtindo wa maandishi na video fupi fupi.
Katika tovuti ya Usharika, tumeweka viunganishi (links) vitakavyowawezesha kupata kuapata nakala zilizo sahihi za Biblia Mtandaoni na vitabu vya nyimbo. Hili ni muhimu sana kwa sababu kumekuwepo na usamabazaji wa Biblia ambazo hazikidhi usahihi wa Neno la Mungu na hivyo kuwapotosha baadhi ya watu.
quality Services
Providing solutions of every kind
latest project gallery
Explore Our Project
our skills
We specialize in industrial manufacturing complexity
General Consulting
Design & Build
Construction Management
Faq's
Learn more about our project workflow
Project Planning
It is a long established fact that a reader will be distracted the readable content of a page when
Re-Renovations
It is a long established fact that a reader will be distracted the readable content of a page when
team
Uongozi wa Usharika
Mch.manford Kijalo
Mch. Margret Shekolowa
Katibu wa Baraza
talk to us
Wasiliana Nasi
Call us
+255 22 266 8350
Mahubiri
Mahubiri
- By admin
- Mafundisho
- September 8, 2024
Kulitetea Agano letu na Mungu kama Stefano
Hapo zamani, imani na utamaduni vilirisishwa sana kwa njia ya kuzungumza, yaani oral tradition. Na hivyo maagano hayo ya wakati...