Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Latest Posts

TUZIJUE NYIMBO ZETU

“Mwamba Wangu wa Kale” ni wimbo ulioandikwa na Augustus Montague Toplady mwaka 1763 na kuchapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1775. Wimbo huo ni kielelezo cha hisia kali ya imani ya Kikristo, inayosisitiza wokovu kupitia Kristo pekee.
Toplady aliandika wimbo huo alipokuwa akisafiri kupitia Milima inayotisha na kuogofya ya Mendip nchini Uingereza. Kulingana na mapokeo, alinaswa na dhoruba kali na baadaye kupata hifadhi kwenye ufa wa mwamba. Ndipo akamkumbuka Yesu Kristo kama kimbilio la mwisho, na kumfanya aandike maneno haya ambayo ndiyo msingi wa wimbo:
“Mwamba wa Kale, uliopasuka kwa ajili yangu, Niruhusu nijifiche Kwako.”
Ingawa Augustus alifariki akiwa bado kijana kabisa mwenye miaka 38 tu, wimbo wake unabaki kuwa msingi wa ibada za Kikristo kote duniani. Anakumbukwa kama mwanateolojia wa Kianglikana na mwandishi wa nyimbo.
Wimbo huu ulitungiwa sauti mbalimbali, ila sauti iliyo maarufu ni hii iliyotungwa na Thomas Hastings (1784–1872).
Katika majira haya tunapomkuka Mungu kama mlinzi wetu, tuimbe wimbo huu – Mwamba Wangu wa Kale, Kwako Nitajificha;

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*