Tarehe 30/03/2025, Usharika wa Msasani Ulizindua Madhabahu baada ya kuifanyia ukarabati. Uzinduzi ulifanywa na Mkuu wa Jimbo la Kaskazini la DMP akimuwakilisha Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Ask. Dkt. Alex G. Malasusa