Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Latest Posts

ZIFAHAMU NYIMBO ZETU – TMW 300

TMW 300 – MIMI NI MWANAKONDOO

Ni Wimbo uliaondikwa na Luise Henriette von Hayn, mshairi na mwanaharakati wa Moravian, raia wa Ujerumani. Alitunga wimbo huu kwa ajili ya watoto akiangazia urahisi wa imani, na usalama katika ulinzi wa Kristo — jambo ambalo ni muhimu sana katika maisha ya kiroho ya Mkristo. Maneno yake yanatumia mfano wa kichungaji wa Yesu kama Mchungaji Mwema na muumini/msharika kama mwana-kondoo Wake, yakitolewa katika Yohana sura ya 10 na Zaburi ya 23.

Ki-muziki, wimbo huu uliwekewa midundo rahisi na yenye upole, inayofaa kwa kufundisha watoto imani na pia kwa uimbaji wa jumuiya ya waumini. Wimbo ulipata umaarufu haraka katika makanisa ya Kiprotestanti ya Kijerumani na ukawa “wimbo pendwa” katika nyimbo za watoto na ibada za kifamilia. Ulionekana kwa mara ya kwanza katika vitabu vya nyimbo vya Herrnhut mwaka 1778. Na sasa unapatikana katika TMW wimbo namba 300.

Christian Kukudi, muimbaji wa nyimbo za injili na msharika wa KKKT – DMP Msasani naye amecheza wimbo huo. Karibuni tuimbe wote – MIMI NI MWANAKONDOO

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*