Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Latest Posts

MAANDALIZI YA MASHANGILIO YA SIKUKUU YA MAVUNO 2025

Chimbuko la mashangilio ya sikukuu ya mavuno liko katika Biblia; Katika Agano la Kale, Waisraeli walisherehekea Sikukuu ya Malimbuko (Walawi 23:9–14), ambapo walileta mazao ya kwanza ya mavuno yao kama shukrani kwa Mungu. Mithali 3:9–10 inasema: “Mheshimu Bwana kwa mali zako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote; ndipo ghala zako zitakapojaa kwa wingi, na mashinikizo yako yatafurika divai mpya.”
Katika zamani hizi, Wakristo wengi huifanya ni Sadaka ya Shukrani ya Mwaka, ambapo mtu binafsi au familia hutenga sehemu ya kile walichopata katika mwaka mzima — mshahara, faida ya biashara, mazao ya shamba, au kipato kingine — na kukitoa kwa Mungu. Hii huonekana kama tendo la shukrani kwa ulinzi na baraka za Mungu katika kipindi chote cha mwaka.
Karibuni tusherekee sikukuu hii katika usharika wetu siku ya tarehe 05 Oktoba 2025 tukiongozwa na Neno kutoka Yak.1:17

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*