Wimbo huu ni moja ya nyimbo maarufu sana za Pasaka. Uliandikwa mwaka 1874 na Robert Lowry, Mchungaji wa

YESU KRISTO NI MPATANISHI
Tunapoteswa na kuonewa kwa ajili ya imani yetu, wala tusijihangaishe kujibizana na watesi wetu kwa njia za kimwili.

UZINDUZI WA MADHABAHU BAADA YA UKARABATI
Tarehe 30/03/2025, Usharika wa Msasani Ulizindua Madhabahu baada ya kuifanyia ukarabati. Uzinduzi ulifanywa na Mkuu wa Jimbo la

KATIKA NEEMA YA KRISTO
Je unaifahamu historia ya wimbo AMAZING GRACE, yaani, NEEMA YA AJABU; Wimbo unaofahamika kama KATIKA NEEMA YA KRISTO,

ZIJUE NYIMBO ZETU – NI DAMU IDONDOKAYO
“Ni Damu Idondokayo” ni wimbo ulioandikwa na William Cowper (1731–1800), mzaliwa wa Berkhamsted, Uingereza. Chimbuko lake ni Kitabu

IFAHAMU IMANI YA MITUME
Imani ya Mitume au Imani ya NIKEA ni kauli (Tamko) ya imani, au kiapo cha imani, SIYO sala;

KWAYA ZETU – UIMBAJI NYIMBO SANIFU KWAYA ZA VIJANA
Kwaya ya Vijana ya Usharika imeshiriki katika uimbaji wa nyimbo sanifu ngazi ya Jimbo, ambapo Jimbo la Kaskazi

SIKU YA BWANA YA MWISHO KATIKA UFUNUO
Mchakato wa kufikia mwisho mwema unaweza kuwa mchungu. Limao si tamu mdomoni; ukipewa limao, tengeneza juisi yake. Kwa

SIKU YA BWANA YA MWISHO KATIKA UFUNUO
Kama mkristo, maombi lazima yawe sehemu ya maisha yako. Tenga muda wa maombi, tena ya faragha; nje ya

TUZIJUE NYIMBO ZETU – YESU MWOKOZI
Wimbo YESU MWOKOZI ulionekana kwa mara ya kwanza katika chapisho la nyimbo za Kikatoliki – 1677 Munster Gesangubuch,